• Fashion issue

    Fashion

    “Fashion is not something that exists in dresses only. Fashion is in the sky, in the street, fashion has to do with ideas, the way we live, what is happening.” ― Coco Chanel.

  • Beauty issue

    Beauty

    “What you do, the way you think, makes you beautiful.” ― Scott Westerfeld, Uglies.

  • Health issue

    Health

    To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear. Buddha.

  • HomeDesign issue

    HomeDesign

    “If you wait until you have enough money to decorate and make your home your own, it will never happen. If you wait until you can afford to buy everything new, you are missing the point. It is the old, the new, the hand-me-down, the collected, the worn but loved things in your home that make it your own.” Stacy Risenmay.

  • Pregnancy issue

    Pregnancy

    The thing that's nice about pregnancy is that in the end, you have a baby.

  • Gnews

    Gnewz

    It’s all about celebrities and their lifestyle.

  • Gnews

    Gnewz

    It’s all about celebrities and their lifestyle.

Showing posts with label Food. Show all posts
Showing posts with label Food. Show all posts

Woman living on water-only diet stops on day 47 after realizing she could be encouraging others to 'starve to death'

0 comments

                                       Naveena Shine
BEFORE
 
A woman trying to live on nothing but water for up to six months is calling it quits after 47 days.
Naveena Shine, 65, from Redmond, Seattle, stopped eating on May 3 in a bid to explore breatharianism - the concept that food is not necessary and sunlight provides all of the nourishment the body needs.
AFTER
But on Sunday she announced via Facebook and YouTube that she is ending the extreme self-experiment because she has realized that it's 'totally dangerous' and likely to cause death

She continued: 'Somebody doing this without all of that in place is synonymous to watching a tightrope walker high in the air, admiring them and thinking you can do it too.
'Now that I see all that feedback, I am really seeing that it is totally dangerous'
'If I got up there and tried to copy them, the result would be instant death.'
Ms Shine will 'slowly' resume eating on June 19. In 45 days she has lost 20per cent of her body weight, taking her five-foot four-inch frame down from 159 to 126 pounds.
Other than water she has also been drinking tea with a 'splash of milk' and recently started taking daily vitamin supplements.

Unpleasant side effects of her no-food diet have included 'sensations of bile' at the back of her throat, sickness, nausea and constipation.
It also impacted on her social life. On day seven she wrote: 'My friends had a barbeque tonight! I could not actually smell it but I could hear them all having a good time. They did send me their love but no steak!
'Food is such a social connection that to give up the addiction to food also requires learning how to interact in a non-food situation.
'Imagine going to a wedding or a party or a buffet and not eating! I don’t even want to think of it!'
Confined to the same four walls, Ms Shine has been filling her time with movies, exercise and sleep.
In one of her video entries she claimed she felt 'very well' and only occasionally experienced 'twinges of what feels like hunger'.
However, now she days that negative public reaction has caused her to reconsider what she is doing.
'There are a lot of people who are genuinely concerned for safety and genuinely don't think it's possible and believe it to be dangerous,' she said on Sunday.
'Now that I see all that feedback, I am really seeing that it is totally dangerous.'
 


Read more

Broccoli & Feta Omelet with Toast

0 comments

Ingredients

  • Cooking spray
  • 1 cup chopped broccoli
  • 2 large eggs, beaten
  • 2 tablespoons cheese, crumbled
  • 1/4 teaspoon dried dill
  • 2 slices rye bread, toasted

Preparation
1. Heat a nonstick skillet over medium heat. Coat pan with cooking spray. Add broccoli, and cook 3 minutes.
2. Combine egg, feta, and dill in a small bowl. Add egg mixture to pan. Cook 3 to 4 minutes; flip omelet and cook 2 minutes or until cooked through. Serve with toast.

WISH YOU HAPPY MORNING


Read more
0 comments

Vipimo


Ndimu / Limau  23

Chumvi 3 Vijiko vya supu

Bizari ya manjano  ½ Kijiko cha chai

Pilipili nyekundu nzima ½ Kikombe

Pilipili ya kichina (sambal) 2 Vijiko vya supu

Masala ya unga 1 Kijiko cha supu

Karoti 4

Maji ya ndimu 1 ½ Vikombe

Siki ½ Kikombe



Namna Ya Kutayarisha

  1. Osha ndimu na ikiwa ni rangi ya kijani unaweza kuchambua maganda, kisha zikate vipande vipande.
  2. Katika chupa la kiasi, changanya vipimo vyote isipokuwa karoti, maji ya ndimu, siki na sambal (pilipili ya kichina ya chupa).
  3. Weka chupa pahali pa joto au juani kwa muda wa wiki 2 – 3.
  4. Halafu ikishaiva ongezea karoti zilizo katwa katwa, maji ya ndimu, siki na sambal na hakikisha mchanganyiko wa  maji ya ndimu imefunika ndimu vizuri.
  5. Na itakuwa tayari kwa kuliwa na wali na venginevyo.


Read more

CHAUROO

0 comments

Vipimo
Pawa (pepeta) 1 Kg

Dengu za vipande za manjano 1/2 Kg

Karanga (njugu) zilokiwisha kaangwa ¼ Kg
Korosho ¼ Kg

Zabibu kavu 1 Kikombe

Chips (Crisps plain) 2 Paketi kubwa

Bizari ya manjano 1 kijiko cha chai

Sukari ¼ kikombe

Chumvi Kiasi

Ndimu ya unga 2 vijiko vya chai

Pilipili ya unga 1 kijiko cha supu

Majani ya mchuzi makavu (curry leaves)
(yachambue) Misongo miwili (bunch)
Mafuta 2 vijiko vya supu
Mafute mengine ya kukaangia dengu kiasi
na pepeta katika karai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
  • Roweka dengu tokea usiku.
  • Siku ya pili weka mafuta kwenye karai na kwa moto wa kiasi kaanga dengu kisha zitoe.
  • Kisha kaanga pepeta uzito, weka kando.
  • Kaanga zabibu kidogo tu zitoe.
  • Tia mafuta vijiko 2 vya supu katika kikaango (frying pan) kaanga majani ya mchuzi pamoja na bizari ya manjano.
  • Tia kwenye bakuli kubwa vitu vyote ulivyokaanga na uchanganye , pamoja na korosho, njugu na chipsi.
  • Nyunyuzia sukari, ndimu ya unga, chumvi na pili pili ya unga uchanganye vyote pamoja tayari kuliwa.


Read more

VIBIBI VYA NAZI

0 comments


Vipimo
 Mchele 2 Vikombe
 Tui la nazi zito  2 Vikombe
 Hamira 1 Kijiko Cha chai
 Unga wa ngano 2 Vijiko vya supu
 Iliki  Kiasi upendavyo
 Sukari Kiasi upendavyo
 Yai 1

 Vipimo vya Tui la Kupaka
 Tui la nazi  2 Vikombe
 Hiliki ya unga Kiasi upendacho
Sukari Kiasi upendacho
Unga wa ngano 1 Kijiko cha supu
Namna ya Kutayarisha na Kupika

  •        Changanya vitu vyote vya tui la kupaka katika kisufuria kidogo.
  •       Lipike tui huku walikoroga mpaka lichemke na liwe zito. 
  •        Osha na loweka mchele usiku mzima ndani ya maji baridi.
  • .      Mimina vifaa vyote isipokuwa yai na sukari , ndani ya mashine ya kusagia (blender) na usage mpaka mchele uwe laini.
  • .      Mimina sukari na yai usage kidogo tu kiasi cha kuchanganya.  
  • .      Mimina ndani ya bakuli na ufinike , kisha weka pahali penye joto ili mchanganyiko ufure/uvimbe
  • .      Ukishafura, weka chuma kipate moto. (Ni bora kutumia kichuma kidogo)
  • .      Katika sahani ya kupakulia, paka tui kote.
  • .      Tia kijiko nusu cha chai cha mafuta au samli kwenye chuma kisha mimina mchanganyiko ukitumia upawa na ufunike.
  • .   Kibibi kikianza kuiva na kushikana upande mmoja , kigeuze upande wa pili mpaka kigeuke rangi na kuiva.
  • .   anga kwenye sahani iliyopakwa tui.
  •   nelea Mpaka umalize mchanganyiko wote; kila ukiepua kibibi, panga juu ya mwenzake kama ilivyo kwenye picha na  upake tui juu yake.
<




Read more

PILAU YA NG'OMBE NA NYANYA

0 comments


                                             
 
                                                     Vipimo
Mchele 3 vikombe
Nyama ya ngo’mbe 1 kg
Pilipili boga 1 kubwa
Nyanya 2 kubwa
Vitunguu maji 2 vikubwa
Thomu iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Tangawizi 1 kijiko cha chai
Ndimu 1
Mafuta ya kupikia ½ kikombe
Mdalasini ½ kijiko cha chai
Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ½ Kijiko cha chai
Hiliki ½ Kijiko cha chai
Namna ya kutayarisha na Kupika

  • Roweka mchele wako katika chombo
  • Chukuwa nyama na ioshe vizuri na itie thomu, tangawizi, ndimu, pilipili manga na chumvi kiasi
  • Iweke jikoni hadi ikauke maji na kuwa imewiva huku ukiikaanga kaanga kwa hayo hayo mafuta yake hadi kuwa rangi ya brown
  • katakata Vitunguu na nyanya weka pembeni
  • Chukua pilipili boga, thomu, tangawizi na visage katika mashine ya kusagia

Weka sufuria pembeni na utie mafuta, subiri yapate moto

  • Kisha tia vitunguu na vikaange hadi kuwa brown  na tia nyanya
  • Kisha mimina mchanganyiko wako ulio usaga wa pilipili boga, thomu na tangawizi
  • Koroga kwa dakika kadhaa Kisha mininia nyama uliyokuwa tayari, maji kiasi na chumvi wastani na subiri maji hayo yachemke
  • Weka mchele humo na koroga kiasi na onja chumvi kama ipo sawa au kama ndogo unaweza kuongeza
  • Funika na punguza moto na uache uive taratibu
  • Baada ya kukauka maji kabisa basi ugeuze na subiri tena kwa dakika kama mbili na tayari kuliwa.



Read more
0 comments
MAPISHI YA NGURU WA NAZI NA BAMIA
MAHITAJI
Samaki nguru 5 vipande

Thomu na Tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supu

Pilipili mbichi iliyosagawa kijiko cha supu

Pilipili nyekundu ya unga 1 kijiko cha chai

Bizari ya mchuzi 1 kijiko cha chai

Ndimu 2 kamua maji

Chumvi kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Nguru

Changanya vitu vyote katika kibakuli ufanye masala ya kupaka kwenye samaki.
Roweka kwa muda nusu saa
Paka treya mafuta, kisha mpange nguru na mchome katika oveni.
Atakapoiva upande upande mmoja mgeuze upande wa pili huku unanyunyizia mafuta.
Epua weka kando.



Vipimo vya mchuzi


Vitungu maji
Nyanya 2

Tuwi zito la nazi 2 vikombe viwili

Bamia 1 kikombe

bizari ya manjano ¼ kijiko cha chai

Pilipili mbichi 1

Ndimu na chumvi kiasi

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
Katika sufuria tia tuwi kikombe kimoja, kisha tia bamia ulizokatakata zipike ziwive kidogo.
Saga kitunguu, nyanya na pilipili mbichi katika mashine ya kusagia (blender) kisha mimina katika tui la bamia.
Tia vipande vya nguru, bizari, chumvi, ndimu, kisha tia tui lilobakia.
Acha mchuzi uchemke kidogo kidogo kisha epua utie katika bakuli ukiwa tayari.
(by alhidaya)


Read more
0 comments
MAPISHI YA BISKUTI ZA JAM
MAHITAJI
1. Unga wa Ngano 2 vikombe
2.Olive oil Sukari
3.Sukari robo
4. Baking powder 2 tsp
5.Mayai 2
6.Flovour yeyote(strawberry,vanilla ,choclate n.k)1tsp



NAMNA YA KUTAYARISHA

  • Changanya sukari ,mayai,flavour yako na olive oil koroga ikiwezekana isage kwenye blenda. Tia unga kwenye bakuli pamoja na baking powder, mimina vitu ulivyosaga kwenye bakuli, changanya.
  • Punguza unga uliochanganya kidogo weka pembeni.-- Unga uliobakia tia kwenya tray ya kuchomeya, utandaze vizuri, tia jam juu yake.
  • Chukua la kukwaruzia carrot (grater) ukwaruze unga uliuopunguza juu ya jam.
  • Choma kwa muda dakika 20 moto wa 180 C.
  • Acha ipowe kidogo, zikate vipande vya mraba (square) Tayari kwa kula.



Read more
0 comments
JINSI YA KUTENGENEZA VEGETARIAN PIZZA


Mahitaji

1) 3 kikombe cha chai au (400g).

2) 2 tsp vya amira.

3) 2 tsp vya chumvi

4) 1 kikombe cha chai maji ya moto

3) 3 tsp ya mafuta (pendekezo olive oil)

4)Piilipili hoho kubwa 1

5)1 tsp tangawizi yakuponda

6)1 tsp ya kitungu swaumu kuponda

7)1/4 tsp ya binzari tamu

6)3/4 nyanya tunda

7)1/4 nyanya ya kopo

8)1/2 pili

9)1/2 tsp pilimanga

10)1/2 cheese/butter

11)1kitungu maji kikubwa

Baada kuwa na mahitaji hayo changanya unga ,amira na chumvi ukishachanganya weka maji yako ukande kwa dakika 7-10.Ukimaliza weka dida kwenye bakuli funika na kitamba kisafi acha kama dakika 30.Kisha kandakanda tena kwa sekunde chache ,baada yahapo chukua dida linyooshe liwe katika ubo la duara weka kwenye sahani .

Chukuwa dida lako paka butter kwenye didia vizuri pande zote.baada ya hapo weka mafuta ya kwenye chombo cha kukangia ya pate moto alafu mimina kitungu ,vitungu vikiwa vya brouwn weka kitungu swaum na tangawizi baada ya hapo weka pilipilihoho ulilokatakata kwa dakika5 (sema uwe mwangalifu hoho lisibadilike rangi yake),weka nyanya tunda ulilokatakata na koraga kwa dakika 2-3 baada ya hapo weka binzari tamu koroga,weka chumvi,pilipili,pilipili manga koroga kwadakika2 baada ya changanyiko wetu kuwamzito weka nyanya ya kopo,koroga kwa dakika 5.baada ya hapo itakuwakama hiyo

Ok! baada ya hapo kama mnavyoona vegitable souce yetu iko tayari,kinachofwata nikuimiminizia kwenye lile dida letu vizuri bila ya kuacha nafasi iliokosa vigetable alafu weka cheese yako ambayo ulisaga mikato midogodogo miminizia kwa juu pande zote.

Baada yahapo iweke kwenye oven moto uwe normal kama dakika 5 mpaka ile cheese yetu inayeyuka na pizza kuiva.

PIZZA IKO TAYARI KWA KULIWA

Unaweza ukaila kwa wine au juice yeyote uipendayo.



Read more