0 comments
MAPISHI YA BISKUTI ZA JAM
MAHITAJI
1. Unga wa Ngano 2 vikombe
2.Olive oil Sukari
3.Sukari robo
4. Baking powder 2 tsp
5.Mayai 2
6.Flovour yeyote(strawberry,vanilla ,choclate n.k)1tspNAMNA YA KUTAYARISHA

  • Changanya sukari ,mayai,flavour yako na olive oil koroga ikiwezekana isage kwenye blenda. Tia unga kwenye bakuli pamoja na baking powder, mimina vitu ulivyosaga kwenye bakuli, changanya.
  • Punguza unga uliochanganya kidogo weka pembeni.-- Unga uliobakia tia kwenya tray ya kuchomeya, utandaze vizuri, tia jam juu yake.
  • Chukua la kukwaruzia carrot (grater) ukwaruze unga uliuopunguza juu ya jam.
  • Choma kwa muda dakika 20 moto wa 180 C.
  • Acha ipowe kidogo, zikate vipande vya mraba (square) Tayari kwa kula.Post a Comment