LEONA LEWIS AMUA RASMI KUIUZA JUMBA LAKE LA KIFAHARI AMBALO LIKO LOS ANGELES KWA GHARAMA £1.3M

0 comments
LEONA LEWIS
Mwanadada maarufu Hollywood LEONA LEWIS kafanikiwa kuiuza jumba lake la kifahari ambalo liko LA kwa gharama ya pound1.3 million lakini inasemekana gharama ya mwanzo kwa mauzo ya hiyo nyumba ilikuwa pound1.5 million mnamo mwaka 2011,isitoshe kunatetesi mwanadada huyo anategemea kufunga ndo na mupenzi wake wazamani Dennis Jauch.Nakutakia kila la kheri lady lewisss.
MASTER BEDROOM

Post a Comment