Uzuri wa rangi ya njanooo

0 comments

Njano ni rangi ambayo kiukweli kama utapatia kuitengeneza itakupendeza na inamkubali mtu mwenye rangi aina yeyote ! naitapendeza hasa kama utachanganya  na rangi nyengine kama white, pink, blue etc it realy taste goooood mafashinsta play with this color!
  
 

 
 Kama hapo juu kaweka njano kwambali kupitia mkanda! nice look simple but elegant!
 
 Post a Comment