0 comments

RAY C AMSHUKURU RAIS KIKWETE KWA MSAADA ALIOMPA WA MATIBABU.


Tunamshukuru Rais wetu JAKAYA MRISHO KIKWETE kwa alichokifanya kwa msanii wetu Rehema Chalamila (Ray c) kwa kuweza mpatia msaada wa matibabu  kwa msanii wetu kipenzi Ray c.
''Kinachotakiwa Ray c kama msanii na unavyojua msanii ni kioo cha jamii uwe mfano kwa wale ambayo wanapitia mapito kama yako na uwahakikishe inawezekana kubadilika.
''Na jamii Ray c atarudi tena kwenye tasnia ya muziki najua atakubalika na tuendelee kumkubali na pia tuendele kumpa support katika pande zote''.
''Rais kama unavyoona wathirika wa madawa wakulevya wako wengi mpaka wasanii,na tunajua unatoa misaada mingi hasa kwa hawa waathirika lakini njia moja ya kutokomeza nikupambana na watu ambao wanasambaza haya madawa hatakama najua unapambana ,
Rais wetu endelea kuongeza nguvu kwenye suala hili maana wengi wamepona lakini baadae wangene wanaludi hukohuko naamini inawezekana kabisa kutokomeza wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya naomba uichukue kama changamoto ambayo inakukabili na pole sana na majukumu.'' 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C watu kushoto,Mama yake mzazi Ray C Bibi Margareth Mtweve (kushoto) na kulia ni Sarah Mtweve Dada yake Ray C

ALL DE BEST OUR DIVA!!!!!!Post a Comment